mafuta haya yamedhibitisha ukuzaji nywele haraka kwa muda mrefu sasa,
ukinunua yale ya kariakoo ni mazito na yananata kama asali njia rahisi ni kuyachanganya na mafuta mengine au maji ya mawaridi pia yanapatikana kariakoo.
Mafuta haya huchangamsha mfumo wa damu na kufungua njia ya mizizi ya nywele hivyo kuchochea ukuaji wa nywele.
So hayo ya kkoo waweza changanya na coconut oil (mfano)?na je hayo ya jamaica yanapatikana wapi!
ReplyDeleteNi bei gani ?? Na Dodoma nayapata wapi ???
ReplyDeleteUkihitaji mafuta ya castor oil nitafute 0652436216
ReplyDeleteInsta: black_castor_oil_tanzania